Thursday, 2 April 2015

                                                     AKS 100
INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE

Hii ni kozi ya awali katika mfululizo wa kozi anuwai za kiisimu atakazokumbana nazo maawanafunzi:imenuiwa kumwezesha mwanafunzi namna ya kukabiliana na lugha kisayansi.Inatalii dhana mbalimbali za kimsingi za kiisimu,lugha,kuweka wazi mifumo inayotokana na mibadiliko katika lugha,na kuchagua uhusiano baina ya isimu na taaluma nyingine.




VIPENGELE VYA KOZI
  1. UFAFANUZI WA ISIMU
  •   Maana ya isimu
  • Malengo ya isimu
  • Historia fupi ya taaluma ya isimu
  • Isimu kama sayansi
 2.VIWANGO VYA ISIMU
  • Fonetiki
  • Fonolojia
  • Mofolojia
  • Sintaksia
  • Semantiki
  • Pragmatiki
3.MATAWI YA ISIMU
  • Isimu fafanuzi
  • Isimu elekezi
  • Isimu historia
  • Isimu linganishi
  • Isimu matumizi
  • Isimu jamii
  • Isimu nadharia
  • Isimu nafsia
4.LUGHA
  • Maana na sifa ya lugha
  • Asili ya lugha
  • Lugha katika mawasiliano
  • Sifa bia za lugha
  • Aina za lugha
  • Kazi au dhima za lugha
mwongozo wa kozi
5.DHANA ZA KIMSINGI KATIKA LUGHA
  • Umilisi na utendaji
  • Langage ..langue.,,.parole
  •  Lafudhi na lahaja
  • Lugha sanifu
  • Jumuia lugha
  • Uwili lugha na ulumbi
  • Pijini na krioli
 6.UMUHIMU WA ISIMU
7.ISIMU NA TAALUMA NYINGINE
  • Historia
  • Anthropolojia
  • Sosholojia
  • Falsafa
  • Saikolojia
  • Ufundishaji

  • I

4 comments: